The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Mwenyekiti wa CCM kata ya Itiryo Peter Magau Mohere anadaiwa kutekwa usiku wa kuamkia jumapili Januari 9,2025 ikiwa ni siku moja baada ya makamu mwenyekiti CCM Taifa kuondoka Tarime.
Bado taarifa kamili haijulikana juu ya utekwaji huo, kwa mujibu wa Mwenyekiti Serekali ya Kijiji cha Itiryo, Chacha Paul, amesema Kiongozi huyo alitekwa saa 7 usiku baada ya kuvamiwa nyumbani kwake na waliomteka walivunja geti kabla ya kufunguliwa.
Akizungumza na Watetezi Tv Mwenyekiti wa Kijiji hicho amesema watekaji hao walijitambulisha kwa mke wa Magau kuwa ni askari polisi lakini alipohoji kama wameambataa na uongozi wa kiyongoji walidai hahusiki kwenye suala hilo hivyo wakavunja geti la nyumba hiyo kwa nguvu na kutekeleza tukio hilo.
" Walijitambulisha kwa Mke wake kuwa ni Maafisa wa Askari polisi mke wake akawauliza kama wameambana na mwenyekiti wa kitongoji awafungulie wakasem anahlusikaje alivyochelewa kufungua wakavunja geti na mlango wa nyumba yake wakaingia mke wake amesema walikuwa watano, watatu walikuwa na siraha za moto na wawili hawakuwa na siraha bado haijajulikana wako wapi " alisema Paul
Amesema baada ya tukio hilo walienda kwa Rafiki yake aitwaye Mwita Ghati ambaye ni kada tu wa chama cha mapuduzi CCM Na kumteka kisha wakaondoka nao, hivyo usiku huo huo uongozi wa kijiji uliwasiliana na Jeshi la Polisi kituo cha Nyamwaga ambao walifika kwa wakati na asubuhi wamerudi tena kwa uchunguzi zaidi, Jeshi hilo limesema linaendelea kufuatilia kwa kina tukio hilo.