The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
#Oktoba29Tunatoka 🇹🇿 ⚠️Huko Tarime wenzetu wapo mbele ya muda sana, Asubuhi ya leo bodaboda wamewasha moto baada ya kuchoka manyanyaso ya Polisi.
Ilikuwa ni juzi.Mm nipo hapa tarime. Hakuna kitu kama hcho
Dar wamejaa Uvcc siyo Gen Z.GenZ wa Tarime sio vijana wa kula chips yai kama wa hapa Dar.
Utasubiri sana, pengine kifiro kikakukuta hapohapo kwako mbelle ya mumeo.hakuna unyonge kwa mkurya. Haya ndio mambo tunayataka yatoke tanzania nzima oct 29.