Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Kuanzia sasa ni mkuryaMuda huu Tarime wananchi wanaandamana wakitaka John Heche aachiliwe huru na watu waliotekwa waachiliwe huru
Si machawa walijianinisha kuwa watu hawawezi kuandamanaMambo kama yameanza kunoga hivi! Huko Tarime watu wanapia tizi la nguvu kuelekea Oktoba 29. Leo wameanza kumtaka Heche achiliwe uhuru.
Polisi na vyombo vya ulinzi na usalama salamu ziwafike sasa!
================
Muda huu Tarime wananchi wanaandamana wakitaka John Heche aachiliwe huru na watu waliotekwa waachiliwe huru
Josephine or stephenie.?Sasa wanaume wa Tarime na mikoa ya jirani sogeeni barabarani muongeze nguvu
StephenieJosephine or stephenie.?