Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Wamesusaa! Uki susaa wenzako wala!!Wenyeviti 15 wa vijiji na vitongoji kutoka Kata ya Kwihancha, Goronga na Nyanungu Tarime mkoani Mara, wamejiuzulu baada ya serikali kutoa msimamo wake juu ya wananchi kupisha maeneo ya hifadhi ya Serengeti kwa kuweka mipaka ambayo inatenganisha vijiji na hifadhi hiyo.
Hatua hiyo ya wenyeviti hao kujivua inakuja baada ya hivi karibuni Mawaziri wa kisekta waliotembelea eneo lenye mgogoro baina ya wananchi na hifadhi ya Taifa nakutoa msimamo wa serikali ndipo wenyeviti hao wakaamua kujivua uongozi.
#EastAfricaRadio
Hivi mama ana nini, mbona anaruhusu huu wizi na dhuluma inatamalaki?Mama anaupiga mwingi.
Chezea serikali ya chama dolaWenyeviti 15 wa vijiji na vitongoji kutoka Kata ya Kwihancha, Goronga na Nyanungu Tarime mkoani Mara, wamejiuzulu baada ya serikali kutoa msimamo wake juu ya wananchi kupisha maeneo ya hifadhi ya Serengeti kwa kuweka mipaka ambayo inatenganisha vijiji na hifadhi hiyo.
Hatua hiyo ya wenyeviti hao kujivua inakuja baada ya hivi karibuni Mawaziri wa kisekta waliotembelea eneo lenye mgogoro baina ya wananchi na hifadhi ya Taifa nakutoa msimamo wa serikali ndipo wenyeviti hao wakaamua kujivua uongozi.
#EastAfricaRadio
Kipi ni bora Binadamu au Wanyama Pori?. Ardhi haiongezeki lakini binadamu wanaongezeka. Hata kidogo thamani ya binadamu huwezi ukalinganisha na thamani ya wanyamapori. Uamuzi huu unatakiwa urejelewe.
Wanyamapori. Kwa sababu wanyama pori hawawezi kwenda kuishi popote ndani ya nchi zaidi ya kwenye mbuga ila binadamu anaweza hata akahama kwenda sehemu nyingine. Njooni morogoro huku mapori yapo ya kutoshaKipi ni bora Binadamu au Wanyama Pori?. Ardhi haiongezeki lakini binadamu wanaongezeka. Hata kidogo thamani ya binadamu huwezi ukalinganisha na thamani ya wanyamapori. Uamuzi huu unatakiwa urejelewe.
Mkuu hiki kinachoendelea ni mwendelezo wa kilichoanza, soma hapa Anguko la CCMWenyeviti 15 wa vijiji na vitongoji kutoka Kata ya Kwihancha, Goronga na Nyanungu Tarime mkoani Mara, wamejiuzulu baada ya serikali kutoa msimamo wake juu ya wananchi kupisha maeneo ya hifadhi ya Serengeti kwa kuweka mipaka ambayo inatenganisha vijiji na hifadhi hiyo.
Hatua hiyo ya wenyeviti hao kujivua inakuja baada ya hivi karibuni Mawaziri wa kisekta waliotembelea eneo lenye mgogoro baina ya wananchi na hifadhi ya Taifa nakutoa msimamo wa serikali ndipo wenyeviti hao wakaamua kujivua uongozi.
#EastAfricaRadio
Wenyewe wana uraia wa mbuga mbili,Masai Mara na Serengeti na hawalipii gharama yoyote.Wananchi wanahitaji gharama!Mkuu kwa hiyo wanyama pori hawaongezeki?
Mbunge wao naye leo kavua koti na tai bungeni ili kulinda heshima yakeWenyeviti 15 wa vijiji na vitongoji kutoka Kata ya Kwihancha, Goronga na Nyanungu Tarime mkoani Mara, wamejiuzulu baada ya serikali kutoa msimamo wake juu ya wananchi kupisha maeneo ya hifadhi ya Serengeti kwa kuweka mipaka ambayo inatenganisha vijiji na hifadhi hiyo.
Hatua hiyo ya wenyeviti hao kujivua inakuja baada ya hivi karibuni Mawaziri wa kisekta waliotembelea eneo lenye mgogoro baina ya wananchi na hifadhi ya Taifa nakutoa msimamo wa serikali ndipo wenyeviti hao wakaamua kujivua uongozi.
#EastAfricaRadio
[emoji38][emoji38][emoji38]Mama anaupiga mwingi.