Hiyo pesa inajidabo, sina uhakika kama ni kila wiki au mwezi. buku inakuwa buku 2, - buku 4, - buku 8.......
Ikifika 30,000 inakomelea hapoHiyo pesa inajidabo, sina uhakika kama ni kila wiki au mwezi. buku inakuwa buku 2, - buku 4, - buku 8.......
Saivi ni kuangalia gari yako mara kwa mara maana wenye zile POS kama hajakusanya anaweza kukaa barabarani ananakili namba na kuziandikia. kunatakiwa kuwe na control mechanism iwe kama polisi kwamba unaandikia kwa leseni ya dereva ili muonane na ujue kama unadaiwaIkifika 30,000 inakomelea hapo
Anakuchapia mkeka kimya kimya unateseka nao tuSaivi ni kuangalia gari yako mara kwa mara maana wenye zile POS kama hajakusanya anaweza kukaa barabarani ananakili namba na kuziandikia
Nimeangalia nimekuta ninaadeni la elf 20, na nyingine elfu 2 gar moja. Hata sijui zimetoke wapi. Yaani mti anakulima parking fee kimya kimya. Inabidi mfumo wao wanyeshe ni lini na wapi. Mi ili deni hata sijui limetoka wapi?Mambo vipi wadau... Alhamis iliyopita nilienda mjini na gari wakaja watu wa tarura wakanipa risiti ya kulipia ilikuwa na control namba lakini cha ajabu mpaka leo imegoma kulipia kila nikiweka control namba naambiwa (control error) nikaenda kwa wakala kulipia kasema imegoma kuingia.
kwahyo mimi ni wakitembea na kikaratasi tuu au wanataka hii gari yenyewe wapige mnada kisa buku tu??? msaada wenu muhimu wadau...
Hifadhi maulizo yote tarehe muda na location..vitakusaidia baadaeMambo vipi wadau... Alhamis iliyopita nilienda mjini na gari wakaja watu wa tarura wakanipa risiti ya kulipia ilikuwa na control namba lakini cha ajabu mpaka leo imegoma kulipia kila nikiweka control namba naambiwa (control error) nikaenda kwa wakala kulipia kasema imegoma kuingia.
kwahyo mimi ni wakitembea na kikaratasi tuu au wanataka hii gari yenyewe wapige mnada kisa buku tu??? msaada wenu muhimu wadau...
Wabongo mlivyo wabishi na mnavyowadharau hao wakatisha tiket mtawapa hizo leseni ili aandike deni?Saivi ni kuangalia gari yako mara kwa mara maana wenye zile POS kama hajakusanya anaweza kukaa barabarani ananakili namba na kuziandikia. kunatakiwa kuwe na control mechanism iwe kama polisi kwamba unaandikia kwa leseni ya dereva ili muonane na ujue kama unadaiwa
Angalieni kama mnadaiwa parking fees:
Termis Web System
View attachment 1967172
Mbona mwanzo wakati tunalipa cash tulilipa? Utashindwaje kulipa parking ya 1000 au 2000 na unajua umekaa masaa2 kwenye maegesho. Kuna wastaarabu anakuandikia anaweka kwenye kioo risit ina control no.Wabongo mlivyo wabishi na mnavyowadharau hao wakatisha tiket mtawapa hizo leseni ili aandike deni?
Hiyo pesa inajidabo, sina uhakika kama ni kila wiki au mwezi. buku inakuwa buku 2, - buku 4, - buku 8.......