Tarura na bili za kubambika

Tarura na bili za kubambika

bnhai

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2009
Posts
2,832
Reaction score
2,390
Wadau, mara kadhaa sasa napata bili ya gari wakati likiwa limepaki kwa ubovu au sababu nyingine.
Ninawasihi angalieni bili zenu.
Maeneo wanayosema gari limepaki hata siyafahamu.
Huu wizi tuukomeshe
 
wooden-chopper-bike-motorcycle-toys-made-pine-wood-89704575.jpg
suluhisho
 
TARURA inawadai Watanzania karibia wote kwa njia ya zulma.
 
Back
Top Bottom