Abraham Vardy
Member
- Oct 11, 2019
- 5
- 0
Hahahahaha kwahiyo upigaji unaendelea kama kawaida Gkado. Hii ni style mpya.Wameona mbali wenzako kwahiyo watakutawa wanalipwa night allowance kwenda kusimamia miradi wilayani ambako wamehama so kila wiki wanakula night zao tano.
Inamaana inashindikana kufunga mifumo ya malipo wilayani. Kwa maana hiyo hata mifumo ya malipo Epicor ingekuwa iko mamlaka za mikoa ili wilayani madokezo tuu yakimbizwe. Kimsingi serikali hii inaamini sana kuwa karibu na wananchi sasa mhasibu akipelekwa mkoani huoni kama kuna mambo yatakuwa yanakwama?!. Ni nini kinachotaka kufanyika kwa kuhamisha hao wahasibu?!!!Anayehama ni Mhasibu tu, Wengine Mhasibu na Wahandisi wanabaki Wilayani.
Hahaahaha bossHawazidi NIDA kwa kufeli....