Scaramanga
JF-Expert Member
- Aug 19, 2020
- 490
- 704
Kwa utaratibu huu mbovu wa risiti sijui ulipie kwenye simu, bora tu nimpe 500 niachane naye maana unaenda lipia zaidi ya 500 na ukijisahau risiti ikapotea imekula kwakoWanatakiwa kukupa risiti yenye control number ulipe kwa mtandao. Wengi wao ni wababaishaji wanasema hakuna network ili uwape mkononi
Hatari snBahati hata wamekuwekea risiti kuna wengine anaandika namba ya gari na kukujazia deni na control namba huna
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] saivi unakuta risiti kwenye kioo ina control namba na deni hakuna mtu anakudai cashSijawai kulipa nasitakuja kulipa Mimi uwanawauliza TARURA ninini? Wakijibu nauliza TOZO?
issue siyo kulipa tatizo mfumo wa ulipaji mbona kabla ya utaratibu huu hakukuwa na tatizo na mbaya zaidi unaweza rudi na kukuta gari imeibiwa viooHakuna watu walalamishi kama wenye magari yàni unanunia gari ya milioni 30 ila kulipa garama ndogo kama za tarura na fine za matrafiki unalita mtu mpaka anarusha ngumi barabatani au matusi ya ajabu yanamtoka kwa wafanyakazi waliotumwa
UjingaHilo sio jibu sahihi kwa Muungwana.. Hapa tunaongelea mapato ya serikali yanayopotelea mifukoni mwa watendaji we unakuja na hekaya za kununua gari..
Bila shaka umekalia msumari wenye ncha kali. Umekutoboa makalio.Hakuna watu walalamishi kama wenye magari yàni unanunia gari ya milioni 30 ila kulipa garama ndogo kama za tarura na fine za matrafiki unalita mtu mpaka anarusha ngumi barabatani au matusi ya ajabu yanamtoka kwa wafanyakazi waliotumwa
Wajinga sana.Hakuna watu walalamishi kama wenye magari yàni unanunia gari ya milioni 30 ila kulipa garama ndogo kama za tarura na fine za matrafiki unalita mtu mpaka anarusha ngumi barabatani au matusi ya ajabu yanamtoka kwa wafanyakazi waliotumwa
Kuna njia nzuri na rahisi wangeweza buni kama ile ya mlimani city wajenge parking bora mbona Zabodo ameweza?Issue siyo kutolipa ila mfumo wa ulipaji ndiyo tatizo.Mama Kikunge alikuwa anaendesha mradi huu jiji wanapewa asilimia ndogo tu .Waweke parking nzuri na mtu huwezi toa gari mpaka malipo yawe yamekamilika hapo hakuna shida wafanye kama mlimani city au shoppers plazza mikocheniWajinga sana.
Dereva unamwambia lipia parking/maegesho anakuambia hajaegesha. Unamuuliza gari ulitundika?
Mara toa risiti kwanza ndiyo nitoe hela. Hivi ni utaratibu gani unatoa risiti kabla ya hela?
Mtoa mada naye anasema "Nikamwambia ntasubiri. Jamaa akaona isiwe tabu akanirudishia 500/= yangu nikaondoka ". Sasa hapo kuna kosa gani? Au alitaka uthibitisho gani kwamba mtandao ulikuwa unasumbua?
Jamaa kaona kwa kuwa risiti hazitoki bora arudishe hela.
Siku nyingine mfanye hizi kazi za kukusanya mapato muone moto wake maana tunakuta na majinga sana. Wengine kwa kuwa ni TISS kweli au uongo basi ni mikwara tu.
By the way, hata Biblia imeandika kwamba wakusanya mapato "zakayo" hawapendwi lakini hawa ndiyo wanafanya Serikali inajiendesha ikiwemo kuhudumia wananchi
Sabotage zinafanyika kila kona naona uchungu kweli mahospitalini wanaomba rushwa wazi wazi mabarabarani zile faini za mashine zimekuwa hazitolewi tens kama awali ni mwenndo wa kukunjiana 5000 tu,nashauri mapato yaliyokuwa yanapatikana katika makosa ya barabarani hayatakiwi kupungua yakipungua maana yake pans hujumaUnaweza kushangaa kwa nini nimepost hapa kwenye jukwaa la siasa.. Lakini huu ni uhujumu uchumi.. Juzi nikiwa Mwenge sokoni mtu wa parking alinielekeza vizuri sehemu ya kupaki gari.
Nikapaki nikafanya ghughuli iliyonipeleka ndani ya dakika ishirini nikawa nimemaliza naondoka.
Jamaa akaja na mashine yake ya kutolea risiti nikampa 500/= akapokea akataka kuondoka, nikamuuliza risiti ipo wapi..?
Nikamwambia naenda sehemu nyingine na ndani ya saa moja ntakuwa nimemaliza shughuli zangu sitaki kudaiwa tena.. Yule jamaa akaniambia mtandao wa Tarula unachukua muda mrefu kutoa risiti.
Nikamwambia ntasubiri. Jamaa akaona isiwe tabu akanirudishia 500/= yangu nikaondoka mpaka Kawe ukwamani.. Kufika Kawe nikamkuta mama mmoja na mashine yake ya kutolea risiti pale Kawe Ukwamani mbele ya duka la nafaka.. Nikapaki vizuri.
Muda mfupi naondoka yule mama anakuja kudai 500/= na risiti hajaweka. Nikamuuliza risiti ipo wapi na yeye akaniuliza kaka na sisi tukale wapi? Nikamjibu bila risiti sikupi hela.
Ndio akatoa risiti akaweka kwenye wipers za gari nikaondoka.. Swali nililojiuliza ni wangapi wenye mchezo huu, na wanawakosesha mapato TARURA kiasi gani kwa siku?
Wenzangu wana JF vipi kwenu, mshakutana na hawa watu wa parking wasio waaminifu..??
Acha kulalamika kama huwezi kimiliko gari daladala zipo. Itafika wakati hata mafuta utamani ya bureissue siyo kulipa tatizo mfumo wa ulipaji mbona kabla ya utaratibu huu hakukuwa na tatizo na mbaya zaidi unaweza rudi na kukuta gari imeibiwa vioo
TARURA KUNA BOSI MWNGNE NDUGU! NA USHURU WANAKUSANYA KWA SYSTEM SASA HVI! NAMBA INAKUWA CAPTURED THEN DENI LAKO LINAHIFADHIWA HATA UKIONDOKA SOMETIMES HAUULIZWI KMA MKEKA WA TRAFFIC TUU! ZIKIFKA SKU SABA INA DOUBLE😁Unaweza kushangaa kwa nini nimepost hapa kwenye jukwaa la siasa.. Lakini huu ni uhujumu uchumi.. Juzi nikiwa Mwenge sokoni mtu wa parking alinielekeza vizuri sehemu ya kupaki gari.
Nikapaki nikafanya ghughuli iliyonipeleka ndani ya dakika ishirini nikawa nimemaliza naondoka.
Jamaa akaja na mashine yake ya kutolea risiti nikampa 500/= akapokea akataka kuondoka, nikamuuliza risiti ipo wapi..?
Nikamwambia naenda sehemu nyingine na ndani ya saa moja ntakuwa nimemaliza shughuli zangu sitaki kudaiwa tena.. Yule jamaa akaniambia mtandao wa Tarula unachukua muda mrefu kutoa risiti.
Nikamwambia ntasubiri. Jamaa akaona isiwe tabu akanirudishia 500/= yangu nikaondoka mpaka Kawe ukwamani.. Kufika Kawe nikamkuta mama mmoja na mashine yake ya kutolea risiti pale Kawe Ukwamani mbele ya duka la nafaka.. Nikapaki vizuri.
Muda mfupi naondoka yule mama anakuja kudai 500/= na risiti hajaweka. Nikamuuliza risiti ipo wapi na yeye akaniuliza kaka na sisi tukale wapi? Nikamjibu bila risiti sikupi hela.
Ndio akatoa risiti akaweka kwenye wipers za gari nikaondoka.. Swali nililojiuliza ni wangapi wenye mchezo huu, na wanawakosesha mapato TARURA kiasi gani kwa siku?
Wenzangu wana JF vipi kwenu, mshakutana na hawa watu wa parking wasio waaminifu..??
unaweza kujua control number yako kwa *152*00# ili kujua control number plus pia gari inadaiwa how muchUnaweza kushangaa kwa nini nimepost hapa kwenye jukwaa la siasa.. Lakini huu ni uhujumu uchumi.. Juzi nikiwa Mwenge sokoni mtu wa parking alinielekeza vizuri sehemu ya kupaki gari.
Nikapaki nikafanya ghughuli iliyonipeleka ndani ya dakika ishirini nikawa nimemaliza naondoka.
Jamaa akaja na mashine yake ya kutolea risiti nikampa 500/= akapokea akataka kuondoka, nikamuuliza risiti ipo wapi..?
Nikamwambia naenda sehemu nyingine na ndani ya saa moja ntakuwa nimemaliza shughuli zangu sitaki kudaiwa tena.. Yule jamaa akaniambia mtandao wa Tarula unachukua muda mrefu kutoa risiti.
Nikamwambia ntasubiri. Jamaa akaona isiwe tabu akanirudishia 500/= yangu nikaondoka mpaka Kawe ukwamani.. Kufika Kawe nikamkuta mama mmoja na mashine yake ya kutolea risiti pale Kawe Ukwamani mbele ya duka la nafaka.. Nikapaki vizuri.
Muda mfupi naondoka yule mama anakuja kudai 500/= na risiti hajaweka. Nikamuuliza risiti ipo wapi na yeye akaniuliza kaka na sisi tukale wapi? Nikamjibu bila risiti sikupi hela.
Ndio akatoa risiti akaweka kwenye wipers za gari nikaondoka.. Swali nililojiuliza ni wangapi wenye mchezo huu, na wanawakosesha mapato TARURA kiasi gani kwa siku?
Wenzangu wana JF vipi kwenu, mshakutana na hawa watu wa parking wasio waaminifu..??
Wapi hiyo..?? Mimi nilidaiwa cash kaka..[emoji1787][emoji1787][emoji1787] saivi unakuta risiti kwenye kioo ina control namba na deni hakuna mtu anakudai cash
Naona pale Mbezi Kituo cha Mabasi ya Mikoani bado wanataka pesa sijui kama wamebadirika sasa hivi ila parking za mjini Posta,Kkoo ni control number tu..Wapi hiyo..?? Mimi nilidaiwa cash kaka..
Binafsi nikiangalia hao walioko Serikalini huwa naona bora nimpatie mpigwa na jua mwenzangu hiyo mia tano imsaidie yeye na Familia yake kuliko kuendelea kuchangia Ada ya kusoma Feza mtoto Wa Mwigulu Nchemba..Yaani ni wizi tu.. Halafu tunadanganywa nchi inajengwa kumbe mianya ya kuibia serikali ipo mingi sana..