TASAF inasaidia nini? Hili ni chaka la wapigaji

TASAF inasaidia nini? Hili ni chaka la wapigaji

Magufuli 05

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2023
Posts
1,433
Reaction score
2,791
Nionavyo Mimi,

Kweli mpango ulikuwa ni mzuri kusaidia kaya masikini.

Lakini kwa Hali inavyoendelea kama kuna pesa zimeliwa nchi hii basi ni hizi za TASAF. Zimeliwa kweli.

Lakini hapa unamsaidiaje mwananchi kwa kumpa elfu hamsini? Hapa ni kutumia umaskini na ukosefu wa elimu ya mtu kama fursa kwa wapigaji.

Ni Nan aliyesaidiwa na mpango huu na sasa si masikini Tena?

Kwanza kuna upendeleo mkubwa,pili kuna RUSHWA sana.

Je ni nani huwa anaratibu mpango huu kama umekidhi malengo kama ilivyokusudiwa?

Haya mabilioni yanateketea bila kuwakomboa katika umasikini Watanzania.

Kila mwaka ukaguzi wa CAG huonyesha upigaji, wala viongozi hawashtuki.

Yaani Mbongo umpe pesa eti nenda kagawe kwa watu masikini, atafanya kweli hivyo?

Anyway nimekosoa leo next nitasema nami kuhusu Nini kingefanyika.
 
Ngoja kaya maskini zije watoe ushuhuda je ni kweli wanapata au wanalambishwa tu
 
Ngoja kaya maskini zije watoe ushuhuda je ni kweli wanapata au wanalambishwa tu
FB_IMG_1575390792397.jpg
FB_IMG_1575390800494.jpg


Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom