show me the way
Member
- Dec 10, 2020
- 52
- 112
Kwa ile oral interview ya dakika 5 bado una matumaini na hizo kazi mkuu?Kama kichwa cha thread kinavyosema hili shirika la tasaf lilitoa nafasi za kazi katika kada mbalimbali toka mwezi juni tukaja kuitwa kwenye interview kupitia utumishi mwezi November ila toka tulipofanya ile written na oral interview sasa huu unaenda mwezi wa 3 bilabila si utumishi wala tasaf wanaotoa majibu ya kueleweka jamani tuomba mtupe majibu yetu tujue tunapambana na mengine.. nawasilisha
Iseee kinachonishangaza mm ni kwamba kwanini zoezi lisimamiwe na utumishi alafu majina waje kutoa wenyewe TASAF wakati utumishi wana web inayodeal na hizo issue inamaana kuna baadhi ya taasisi kubwa wana wakontrol hawa ajira portal..Kwa ile oral interview ya dakika 5 bado una matumaini na hizo kazi mkuu?
Nilifanya hiyo interview lakini sina matumaini sababu ya namna walivyoiendesha. Maybe watazitangaza next month maana nilisikia zitatoka January ila mwezi umeshakatika huu.
System yetu bado ipo disorganizedIseee kinachonishangaza mm ni kwamba kwanini zoezi lisimamiwe na utumishi alafu majina waje kutoa wenyewe TASAF wakati utumishi wana web inayodeal na hizo issue inamaana kuna baadhi ya taasisi kubwa wana wakontrol hawa ajira portal..
Kwa ile oral interview ya dakika 5 bado una matumaini na hizo kazi mkuu?
Nilifanya hiyo interview lakini sina matumaini sababu ya namna walivyoiendesha. Maybe watazitangaza next month maana nilisikia zitatoka January ila mwezi umeshakatika huu.