hivi wandugu huu mpango wa TASAF kusajili watu maskini ilhali serikali ikijua fika tunaelekea kwenye chaguzi ndogo za serikali za mitaa na huku serikali ya CCM ikijua fika watu maskini hasa hasa wazee na akina mama ndiyo mtaji wao mkubwa kwenye upigaji kura!!!!##nawaza tu wadau