Tasaf fedha nyingi inaishia kwa wafanyakazi wao kulipana posho na mishahara mikubwa na kupeleka wafanyakzi wote semina kila mara..Jana nimekutana na Bibi CRDB wa kama miaka 80 kaja kuchukua malipo ya Tsh 24,000 ya mwezi June.
TASAF wana utaratibu wa kusaidi watu au kaya masikini Utaratibu huu ni mzuri ila kiwango cha fedha ni fedhea kubwa.
TASAF tafadhali jitahidini kupandisha kiwango Tsh 24,000 ni ndogo sana.
Ukitaka kujua hizo fedha ni ndogo na hazitoshi Jaribu KUZIFUTA, yaani wasipate chochote.Jana nimekutana na Bibi CRDB wa kama miaka 80 kaja kuchukua malipo ya Tsh 24,000 ya mwezi June.
TASAF wana utaratibu wa kusaidi watu au kaya masikini Utaratibu huu ni mzuri ila kiwango cha fedha ni fedhea kubwa.
TASAF tafadhali jitahidini kupandisha kiwango Tsh 24,000 ni ndogo sana.
Kwa hali ya kijijini hizo pesa ni nyingi na zinaweza kumsaidia huyu bibi asogeze siku za kuishi bila mateso,.......neenda vijiji vya Tanzania mawilayani utaona umasikini unao ongea hata sh 5000 watu wako tayari kutoana roho.Jana nimekutana na Bibi CRDB wa kama miaka 80 kaja kuchukua malipo ya Tsh 24,000 ya mwezi June.
TASAF wana utaratibu wa kusaidi watu au kaya masikini Utaratibu huu ni mzuri ila kiwango cha fedha ni fedhea kubwa.
TASAF tafadhali jitahidini kupandisha kiwango Tsh 24,000 ni ndogo sana.
Viwango hutofautiana kulingana na wategemezi aliokuwa nao mwanakaya (Masharti ya elimu na afya).Nadhani viwango vinatofautiana
Kwahiyo ni sh 12,000/= kwa mwezi sawa na sh 400/= kwa siku na sh 33/= kwa kutwa?Siyo mwezi. Ni miezi miwili.
Na sio mwanzoni mwa mwezi hadi mwezi ukichanganyaSiyo mwezi. Ni miezi miwili.