Ni mzuri,tunampendaHahaha
Angekuwa mwanaume hapa angewakoma
Ila naona kwa mrembo mmekuwa wapole
Teh Teh Teh Teh husisahau kumpa na ATM card yakoHuyu mrembo kanifurahisha sana..yaani kavurumusha na ukodak wake ule mkali hapa hapa kibarazani.
Haya bibie achana na hao wanaokuja pm...ngosha hapa nina mkopo wangu wa Saccos bado wote kabisaa. Can we seal a deal or what?
Karibu!
haa aaa au wakusema toa picha hiyo leo wanasifia tu...Leo sijasikii wale wa hapa sio facebook[emoji1] [emoji1]
Huyu mrembo kanifurahisha sana..yaani kavurumusha na ukodak wake ule mkali hapa hapa kibarazani.
Haya bibie achana na hao wanaokuja pm...ngosha hapa nina mkopo wangu wa Saccos bado wote kabisaa. Can we seal a deal or what?
Karibu!
Picha siyo nzuri sana kuwekwa humu Binti Mziray.Hey habar napenda kuwasalim am a new member
Taja mmoja please![emoji1]KUNA MADADA HUMU WATAKUWA WABAYA SURA HAWAWEKI PICHA ZAO KWENYE AVATAR BIG UP NATASHA KWAKUJIKUBALI
ATM hayo si masuala ya muungano kwenye mahusiano. Masuala ya muungano yanajulikana mpwa.Teh Teh Teh Teh husisahau kumpa na ATM card yako
Hivi Mkuu huwa unajua vipi kwamba leo kuna mgeni wa KE jf? au una NEW COMER DETECTOR MACHINE?....yaani hakuna KE ambaye hukumkaribishaπππππNgoja niendelee kufikiri kwa nini umeniitia hii fursa maana ukiona fisi anakuletea mifupa basi ujue kuna hali ya hatari....sii jambo la kawaida kutokea[emoji23][emoji23][emoji23]wazeee wa fursa CHARMILTON njoo kuna fursa huku
Uncle kama ile theory ya proportionality ni kweli,....najitoa kwenye mashindano.Karibu tasha ,ila kuna ndugu yangu alisema eti ukitaka kujua size angalia mdomo ,nimejikuta tu naishiwa nguvu baada ya kuangalia mdomo