Nikama gari la benki likiangukia sokoni...[emoji13] [emoji13] [emoji13]Mbuzi kafia kwa muuza supu,ngoja nikafate uko uko pm.
Ohooooo.......[emoji15] [emoji15] [emoji15]Tasher umeolewa mama?
Toba...[emoji45] [emoji45]Mkuu we kiboko sio kwa utoto huo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Team TUSIONAJEMA TupoKuna jamaa wa Geita sikumbuki vizuri maeneo gani, aliwahi kutupia nyago humu aiseeee......
Alishambuliwa kana kwamba paka mwizi, na fully kuzodolewa aiseeee, jamaa alichambuliwa kama mchele vile na mbaya zaidi wanaume ndio walikua wauaji wake wakubwa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] watu mna majibu aisee!!!Nasisi ni watoto wenzie, ndio maana amekuja kucheza na sisi..[emoji39] [emoji39]
Ohooooo.......[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] watu mna majibu aisee!!!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Ohooooo.....[emoji134] [emoji134]
Pambo...[emoji23] [emoji23] unamkumbuka yule jamaa aliyeweka picha yake
Naona leo Natasha kapokelewa vizuri
Vijana wanaongozwa na udhaifu,mwanaume kwa mwanamke hata awe baunsa lazima awe mpole... Pili udhaifu wetu sisi wanaume...Kuna jamaa alitupia picha.. akaitwa mshamba... ila huyu demu kila mtu anaona alichokifanya ni sawa..
Yuko under 18-Tasher umeolewa mama?
Facebook kumekuwa kugumu bahna,wanahamia kwa magreat thinker wanapunguza IQ ZETU...Siku hizi watu wanapenda kiki mpaka wanatumia their realy name
Ni ujinga..Vijana wanaongozwa na udhaifu,mwanaume kwa mwanamke hata awe baunsa lazima awe mpole... Pili udhaifu wetu sisi wanaume...
How..Ni ujinga..
Lakini unamjua!![emoji2] [emoji2] [emoji2] hamna sina udugu nay