Kamawewe
JF-Expert Member
- Jan 16, 2013
- 533
- 521
Hebu fikiria joto lilivyo kali unaenda kukata tiketi wanakwambia bus lao luxury lina AC.
Lakini unasafiri Tanga hadi Mtwara hakuna AC na hata baadhi ya vioo havifunguki ovyo kabisa basi letu si la kupanda pia muwe wakweli mtoe mnachoahidi wacheni utapeli kama vipi bakini huko kwenu Tanga, Mtwara tunahitaji magari yanayoeleweka sio nyie na maseat yenu ya vitambaa yananuka uvundo.
Tafadhali LATRA tukilipa hizi nauli za luxury sijui VIP muwe mnafutilia kama tunapafa tunachostahili