Mkuu kufika Mtwara wapi hivi sasa tupo Kijichi watu wako chini ya uvungu wanaitengeneza, gari ya Tanga Mtwara leo kimeo balaa hapa watu wanatukana matusi yoteUmevumilia kimya kimya toka tanga hadi mtwara umekuja kulilia Huku [emoji3061]
Mkuu naili inastahili kabisa na hata wenyewe wanakwambia ina Ac ni wahuni tuu wanafanya watakavyo LATRA wafuatilieKabla ya kulalamika hapa, jiulize kwanza, hiyo nauli uliyotoa wewe ina hadhi ya kulingana na kupewa huduma ya luxurious unayoistahili?! Sijaona basi yoyote ya luxury level zilee za scandnavia mpaka sasa!
LATRA ni TABOA namba mbili kama hujuiTafadhali LATRA tukilipa hizi nauli za luxury sijui VIP muwe mnafutilia kama tunapafa tunachostahili
Tashirifu hamna kitu mule! Wamebaki na jina tu,gari hawana,wanapitwa hadi na Nacharo!!!Mkuu kufika Mtwara wapi hivi sasa tupo Kijichi watu wako chini ya uvungu wanaitengeneza, gari ya Tanga Mtwara leo kimeo balaa hapa watu wanatukana matusi yote