Tasisi zenye mishahara mikubwa Tanzania

Tasisi zenye mishahara mikubwa Tanzania

Gaddafi Mbowe lazima atolewe hata kwa mtutu.
 
Top 10 ya Taasisi za Umma zenye Mishahara Mikubwa Tanzania
1.UCSAF
2.TPDC
3.TCRA
4.TASAC
5.LATRA
6.PSSF
7.EWURA
8.REA
9.TANAPA
10.TBA
Wanaofanya kazi humo wanawapa stress sana wale wa local government( watamisenga).

Chukulia wote mmeskuli pamoja alafu hata uwezo ulimpita mwenzako yupo kwenye taasisi wewe upo local government unasukuma siku😀😀😀😀

Hakika life halijawahi kuwa fair!!!

Vipanga na MAT.O ni katika watu wanaishi kwa sonona sana na kwa kujifichafisha sana ikiwa wale aliokuwa anawaburuza skuli saivi wanamburuza kimaisha🤗
 
Huwezi ukawa smart halafu ukawa mtamisenga
 
Back
Top Bottom