Eyeson Property
Senior Member
- Jan 23, 2018
- 197
- 42
Weka figuresTop 10 ya Taasisi za Umma zenye Mishahara Mikubwa Tanzania
1.UCSAF
2.TPDC
3.TCRA
4.TASAC
5.LATRA
6.PSSF
7.EWURA
8.REA
9.TANAPA
10.TBA
Pa kawaida sanaBOT je?
Wanaofanya kazi humo wanawapa stress sana wale wa local government( watamisenga).Top 10 ya Taasisi za Umma zenye Mishahara Mikubwa Tanzania
1.UCSAF
2.TPDC
3.TCRA
4.TASAC
5.LATRA
6.PSSF
7.EWURA
8.REA
9.TANAPA
10.TBA
Wanaanzia ngapi ? gross?Top 10 ya Taasisi za Umma zenye Mishahara Mikubwa Tanzania
1.UCSAF
2.TPDC
3.TCRA
4.TASAC
5.LATRA
6.PSSF
7.EWURA
8.REA
9.TANAPA
10.TBA
Nzani bot wapo sababu wana mpaka life insurance na wanamfuko wa kiinua mgongo kwa staff wao nasiikia ukiachilia mbali nssfPa kawaida sana
Kamuzu mbowe must goGaddafi Mbowe lazima atolewe hata kwa mtutu.
Wanaofanya kazi humo wanawapa stress sana wale wa local government( watamisenga).
Chukulia wote mmeskuli pamoja alafu hata uwezo ulimpita mwenzako yupo kwenye taasisi wewe upo local government unasukuma siku😀😀😀😀
Hakika life halijawahi kuwa fair!!!
Vipanga na MAT.O ni katika watu wanaishi kwa sonona sana na kwa kujifichafisha sana ikiwa wale aliokuwa anawaburuza skuli saivi wanamburuza kimaisha🤗