Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
usomi ni kitu kinachopendwa sana hasa na wale wasio na ubavu wa kusoma. Viongozi wetu wa kada zote wanapenda kujibebesha au kubebesha kwa kuzawadiwa vyeo hivyo baada ya kuhonga ili waheshimike bila stahiki. Leo nawaleteeni masters ya mkuu wa kaya muamue wenyewe kama ni somi au kihiyo.
Pamoja na usomi wangu, sijui kama kuna shahada inaweza kusomewa na watu zaidi ya mmoja kwa pamoja wakatunukiwa. Je wataigawana vipi. Nisiharibu mchuzi. Naomba tufuatane wenye muda msome na mtupe mrejesho