Taswa na aibu hii

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,282
Reaction score
117,244
Kuna aibu zingine ni za kushangaza sana...........

Nilikuwa natazama tv mara habari za michezo
zikafika akatokea mwenyekiti wa taswa.

Eti wameaaamua kumpa jk tuzo ya maalum kwa kujali michezo........

Siku zote walikuwa wapi?????
Ni mpaka kampeni zianze ndio waje na tuzo yao?????

Mimi ningekuwa mwanachama wa taswa ningejitoa..

Upuuuzi gani huuuu????????????
 
Shame on you taswa.......
 
Tuzo my foot..........
 
Huyo Mwenyekiti ni kibaraka analipa fadhila chama kimevamiwa na kutekwa na wanasiasa. Anajali michezo gani maana juzi tu mabondia wamegoma kuzijapa kutokana na ukata ?.
 
Zege limelala hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…