Taswira ya Leo

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001




Rais Kikwete (kushoto), akisakata rhumba na Bi. Kidude, huku mkewe mama Salma (kulia), akiwasaidia.
 
Nimelipenda pozi la bibi kidude,
kama anaimba hip hop hivi siku hizi.
 
sasa hapo bi kidude kafumba au kafumbua macho?
 
Kikwete bana, kwa burudani humtoi, lakini hafanyi jitihada zozote kuhakikisha haki za Wasanii zinalidwa, anasema anapenda sana Bongoflava, lakini hasikii kilio chao cha ukosefu wa studio, wizi wa kazi zao, haitoshi kusakata Rumbah na kuwaacha masikini, JK uliwaambia uwongo wakati wa kampeni , na ulitoa ahadi lukuki dhidi yao.....
 
but uncle nilimwona rc akitumbuiza,ze wei she dressed for me mmmmmmmmmmmmmh,SIKUPENDA
 


nasikia eti serikali ina mpango wa kuleta mashine za kudurufu cd na tapes, pia kufungua studio kubwa yenye kutumia mfumo wa digital.
ila nasikia ruge ndiyo ameshamegewa pande la usimamizi wa mradi huo.
kazi kwelikweli.
 

Nguvumali Watchou ! Msanii daima haangalii wasanii washindani wenzake.Iweje leo Msanii JK kuwakumbuka wasanii wenzie?
 
but uncle nilimwona rc akitumbuiza,ze wei she dressed for me mmmmmmmmmmmmmh,SIKUPENDA

Exactly, hata mie sikupenda mbele ya presidaa namna ile mmmh, au ndo kibiashara zaidi ilikuwa?
 
Hata kama bwana!sera pale ilikuwa malaria haikubaliki ss nguo ile!!!!!!!!!!binafsi nimezalilishwa
exactly, hata mie sikupenda mbele ya presidaa namna ile mmmh, au ndo kibiashara zaidi ilikuwa?
 
Hilo tabasamu la Mama Salma Kikwete linatoka moyoni kweli?
 
nasikia eti serikali ina mpango wa kuleta mashine za kudurufu cd na tapes, pia kufungua studio kubwa yenye kutumia mfumo wa digital.
ila nasikia ruge ndiyo ameshamegewa pande la usimamizi wa mradi huo.
kazi kwelikweli.
HUO NI USANII juu ya wasanii, maana kampeni zinaanza, JK anawahitaji sana kwenye kampeni zake, anaanza kuwaongopea tena, na kwa umasikini wao wakukumbuka mambo wameisha sahau kuwa miaka minne iliopita aliwaahidi mambo lukuki pale IKULu Leo anaibuka na blah blah hizo.....
 
Bi kidude ana mbwembwe kwelikweli! Big up sana
 
Hivi mbona JK anapenda sana kupiga picha na wasanii?
 
Prof J--------Nasema mikono juu yo mikono juu.........tenaaaa..........tenaaaaaa.......................
Kwi kwiii kwiiiiiii sikuwa na mbavu presdaa alivyokuwa anarusha mikono
 
Wakuu,
Nimeitazama hii picha ya Rais wetu,Mkewe na Bi Kidude sijailelewa vizuri.Sijawahi kuona Rais mwingine akipozi hivi. Halafu gazeti hilohilo chini kulia kuna piacha ya mtoto amepozi kama JK alivyopozi.Hivi huwa haongozwi namna ya kupozi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…