bahati mbaya bado wananchi wengi wanaona kwamba ufukara ni majaliwa ya Mola, na ndo maana hata ukiwahubiria ukombozi bado very few wanakuelewa~! There is a need ku-mobilize wananchi na kuwa asure kwamba umaskini uliopo miongoni mwetu unaweza kuondolewa kwa kufanya kazi kwa bidii kwa kujituma zaidi, na kuchagua viongozi waadilifu!