Nchi nzima inategemea dar badala mikakati ifanyike mikoa mingine iibuke... wawekezaji washawishiwe kuwekeza mikoa tofauti tofauti hata kwakupewa ardhi kwabei finyuuu na kupunguziwa kodi.
Mikoa inakosa mzunguko wa hela hela zoote zipo dar sasa sinikama mikoa imewekewa vikwazo vya kiuchumi bila kujijua?
Namshauri bashe saivi tujiwekee kilimo cha kimkakatii kimikoa kupaisha uchumi mikoani na wataalamu wagawanywe kimkakati mfano;
Alizeti - Singida, Ndizi - Klm & Bukoba, Chikichi Kigoma, mahindi - Rukwa, zabibu - Dom, mpunga - Moro & Kyela, nk