B Bebeku Member Joined Aug 7, 2009 Posts 28 Reaction score 0 Sep 4, 2009 #1 Nauza TATA min buss bovu, linawafaa zaidi wanaofanya biashara ya kuuza spare za magari, maana lilipata ajali. Pia hata kwa anaweza kulinyoosha linaweza kumfaa pia maana injini ipo safi sana na ina nguvu na puling nzuri. Mteja ani PM
Nauza TATA min buss bovu, linawafaa zaidi wanaofanya biashara ya kuuza spare za magari, maana lilipata ajali. Pia hata kwa anaweza kulinyoosha linaweza kumfaa pia maana injini ipo safi sana na ina nguvu na puling nzuri. Mteja ani PM