Mkuu mabulangata nimekusoma. lakini angalia majibu ya prof. mutembei jana kwenye kikao pale chumba no. 204, alikuwa na jazba na alikuwa anajaribu kuleta hoja peripheral ili kuizima hoja kuu. alizungumzia kukaa kwa senate, kwanini hakuwa mkweli aseme kama senate ingekaa leo badala ya kuzungumzia kikao cha senate as if ni ishu ya miezi kadha ijayo? huoni kama kuna ajenda iliyojificha hapo? kuhusu kama ni pesa au ni uwandani, ishu ni field, kama ulikuwepo kikao cha jana tulisema kama ingeshindikana kabisa tungejidhamini hiyo field., ama sivyo? kuhusu sheria si kweli, huwa wanaenda field mwaka wa pili na mwaka wa tatu kwenye law chambers na mahakama za mwanzo! dodoma wao walienda mwaka wa kwanza na mwaka wa pili pia watakwenda! kama uko aware, nadhani umesikia reaction ya dvc office.