Papaa Kinyani
JF-Expert Member
- Feb 25, 2013
- 1,459
- 699
Jamani wadau wa elimu, tunashangazwa na hawa jamaa wa TATAKI UDSM eti wanatunga vitabu vya sekondari kwa kiswahili kama njia ya kukuza kiswahili wakati mitaala ya kufundishia kwanza hakuna Tanzania (kama tulivyoambiwa) na hukuna mwongozo pia, je hiyo si njia ya kujipatia fedha pasipo kuwa na tija? Elimu inapanda au inaporomoka? Mutembei upooo?:A S 39: