Elections 2010 TATALIPIZA KISASA- WAZEE Igunga

Elections 2010 TATALIPIZA KISASA- WAZEE Igunga

AMARIDONG

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2010
Posts
2,501
Reaction score
185
TUTACHAGUA UPINZANI ILI KUIONYESHA CCM KUWA WALICHOMFANYA MBUNGE WETU HATUKUPENDEZWA NACHO

CHADEMA INAPEWA NAFASI YA JUU KUTWAA IGUNGA THIS Tym
 
bado naibu katibu mkuu tumsiubiri nae
 
wana-iginga sio kweli wanamtaka Rostam bali baadhi wamenunuliwa kwa pesa.
Mramba alichinjwa na Wana wa ROMBO kwa mikono yao sembuse huyo muiran?
 
Siasa za Tabora ww huzijui, nyamaza !
genius ,mimi nazijua siasa za tabora, usitishe watu safari hii jimbo la igunga litachukuliwa na cdm upende usipende. cdm sio ile ya zamani sasa hivi hiki chama kinafanya kazi kisayansi zaidi
 
Sitishiki na Rostam kujiengua, ninachotishika na nacho fedha zetu za Richmoind amerudisha??????????????????????????????????????????????? Akafie mbali
 
Nasubili tarehe ya kuanza kampeni kwa hamu sana kwani mengi sana yataibuka.cdm ikomboeni tabora.
 
Back
Top Bottom