kama UKAWA ingekua gari, basi ningesema pia matairi yote yameshapata pancha,hivyo gari limebeki kusukumwa tuu ilimradi liende
da, magufuli mungu akupe maisha marefu tushuhudie mafanikio yako na mnyoosho wako oktaoba 25 kura yangu halali yako #hapakazitu
CCM Imetoa ini na figo na kufanya transplant kwa kuweka ini na figo mpya, ila kuna watu wamechukua figo na ini lililotoka CCM na kwenda kuharibu miili yao,
kabisa ni mwaka wa magufuli tu #hapakazituhuyu ndio raisi anayetufaa 2015, [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=hapakazitu]#hapakazitu [/URL]
Kwa heshima na taadhima napenda kusema magufuli ni hodari wa kila jambo linalohusu maendeleo sina mengi ila nawasihi wakazi wa morogoro tukutane leo tukamsikilize mh sera zake na tumuunge mkono
View attachment 283837
bora ya gar lina spare tyre kuliko ini lisilokuwa na spare ni kufa tu.
ccm ni kifo muda huu
ccm chama imara na huwa akikosei kinapochagua.....
UVCCM like any other organization inacho kitengo imara na bora kinachoshughulika na tafiti za kisiasa ili kujua muelekeo wa siasa za ndani na nje ya nchi. Ni kitengo chenye wataalamu wenye kuaminika na wanaotumainiwa hata na taasisi kubwa za kitaaluma kama University of Dar es salaam.