Tathimini Ya show Ya Diamond Dar na Iringa

Uongo
Kila alie ingia pale Jangwani ukimuuliza wale watu hawakufika hiyo idadi uliyosema
Hata Diamond anajua hivo
Unasema kwel.? Kwahyo unasema wale walio ingia walikuw wanahesabiana.? Au tulikuw tunahesab tiketi.? Unajua Nafasi inayokaa gari kumi inaweza kukaa watu 100.? Ndo ujue nafas ya eneo husika huwez kuhesabu kwa kuangalia tu
 
Kiba kazomewa tu huko dodoma wakati mwenziy anaimba uwanjani yeye kiba salome anaimba kirabuni.
we endelea kupiga mayowe mwenzako kiba anasukuma bmwx5 wewe utakuta gari yako ya gharama kupanda ni mwendokasi wewe hushangai kwa nini wasanii wengi ukiachana na domo huwa wanamkubali sana jamaa halafu siyo mtu wa show off.
 
Alright then[emoji40] [emoji40] [emoji40]
 
Weeee hujui hesabu ya biashara uliona wap mtu akafanya kitu akapewa pesa yote ya watu waliochanga kuingia
Rudi darasan
 
Na wewe ulipata shilingi ngapi?
 
naona meneja MUGABE katika ubora wake wa kuongeza sifuri
 
Sikuwepo eneo la tukio ila kuniambia waliandaa eneo la watu 1500 ila wakaingia 3000 naona kama umekuza mambo.

Na najiuliza wanausalama walikuwa wapi? Nakumbuka kule mby watu walikufa kwa kuzidisha wafungwa mahabusu au kule Tabora ambako tulipoteza watoto disco baada ya kukosa hewa.

Data zako zina walakini.
 
Naona kama hela imekua mdogo 190ml nilidhani bn. Piga vizuri. Hapo voda wanaburudisha wananchi,?
 
Wewe unadhani Voda wanachukua hela Hapo? Kwa akili yako tuuu ndogo katika mkataba alio Ingia diamond nani wakulipwa? VODA wao ni kupata wateja wapya,kuwathamini wateja waliopo na kuuza bidhaa zao
Hili LA wateja wapya sidhani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…