Shoo ilikaza maskini wasiojielewa,wanaokaa nyumba za kupanga huku wakishindia chips kavu .
Hapa. Ndipo walipologwa huku matajiri wakiwa makwao wanajisimea fursa za uwekezaji.
Endeleeni na ngololo na WCB ukizweka utawaadithia watoto wa wajukuu zako kuhusu shoo za Diamond,tena waaambie mjukuu wangu enzi zetu tulikula starehe sana!