Hamissi Hamza Jr
JF-Expert Member
- Apr 16, 2020
- 561
- 1,149
Na Bahati mbaya zaidi HawaambilikiHii nchi wanaiua, sijui ndio lengo lao ama ndio kichwani empty set..
Ukweli ndio Huo Na Wala Haihitaji Microscope Kuliona Hilo,PiaNi wapi umesoma kuwa uchumi wa tanzania unaegemea wapi? Kwa sera ipi?
Ulimsikia madam president akiongelea hli jambo?
"NIJIBU HILI SWALI:
-tanzania kwenda urusi na SPIEF, imekuwa nongwa, je trump alienda kufuata nini china ambayo unaipinga na msululu wa wafanyabiashara na wana diplomasia?
Wale wote ni economic giants, wale wanaweza kuonana na kupanga mikakati ya kibiashara, usalama, ushawishi nk, wewe ukienda kuonana na Trump au jin ping mostly utakuwa unaenda kuomba urafiki, msaada, na wawekezaji, hivyo wale wanaweza kubishana, wewe huna hiyo nafasi ya kubishana na yeyote kati yao, wale wanaheshimiana, wewe hawakuheshimu hata kidogo, NB= dunia ya leo hakuna kitu kinaitwa neutrality, eti sifungamani na upande wowote, na hilo Trump aliliweka wazi kabisa, its either with us, or against us, kuomba tu urafiki na urusi ni direct message kuwa umetangaza vita na marekani, cause friend of my enemy is enemy.Ni wapi umesoma kuwa uchumi wa tanzania unaegemea wapi? Kwa sera ipi?
Ulimsikia madam president akiongelea hli jambo?
"NIJIBU HILI SWALI:
-tanzania kwenda urusi na SPIEF, imekuwa nongwa, je trump alienda kufuata nini china ambayo unaipinga na msululu wa wafanyabiashara na wana diplomasia?
Inasikitisha Kikundi cha Watu Fulani Kuamini Tumefikia Uwezo wa kubishana Na Big BoysWale wote ni economic giants, wale wanaweza kuonana na kupanga mikakati ya kibiashara, usalama, ushawishi nk, wewe ukienda kuonana na Trump au jin ping mostly utakuwa unaenda kuomba urafiki, msaada, na wawekezaji, hivyo wale wanaweza kubishana, wewe huna hiyo nafasi ya kubishana na yeyote kati yao, wale wanaheshimiana, wewe hawakuheshimu hata kidogo, NB= dunia ya leo hakuna kitu kinaitwa neutrality, eti sifungamani na upande wowote, na hilo Trump aliliweka wazi kabisa, its either with us, or against us, kuomba tu urafiki na urusi ni direct message kuwa umetangaza vita na marekani, cause friend of my enemy is enemy.
Mirija ya Uhisani Ishaanza kukatwa TaratibuNawaza wahisani wakijitoa hasa kwenye suala linalohusu Afya, sijui itakuwaje... Daily nawaza sijui, ngoja tuone....
Kuna haja ya kukubali kuwa tulikosea na kukosea siyo vibaya lengo ni kwa mustakabali siyo wa Leo yetu su nafasi tuliyo nayo leo... Bali kwa mustakabali wa kizazi kitakacho bakia baada ya wewe.
We should learn from Mugabe, one's you can't control them, they will wait till they can....
Ndio Uhalisia ulivyojapo wengi hawaependi kuusikia hasa viongoziChina na Urusi haziwezi kutoa msaada wowote kwa sababu bado zina kundi kubwa la wananchi wao ambao bado ni maskini. Mchina au Mrusi akija Afrika anakuja kuganga njaa, siyo kuwekeza. Viongozi wa China kila siku wapo Ulaya na America kutafuta wawekezaji wa kwenda kuwekeza China. Wachina wanaokuja huku ni wahangaikaji ambao wanaoona hawana nafasi ya kushindana na wageni wanaoenda kuwekeza China.
Zaidi ya warusi milioni 16 wanaishikwenye umaskini wa kutupwa:
"12 to 18 million Russians (about 8% to 12% of the population) live below the official poverty line.
Ingawa China imefuta umaskini wa kitupwa, lakini bado kuna wachina zaidi ya miioni 300 wanaishi kwenye umaskini, kwa maana ya kuwa vipato vyao ni chini ya wastani wa pato la mwananchi wa kipato cha kati.
Urusi miaka ya karibuni ilikuwa hoi bin taabani kiuchumi, mpaka kufikia kuomba msaada wa fedha toka Ulaya na Marekani. Ikabidi nchi za Ulaya na America ziipe Urusi msaada wa fedha na wawekezaji. Uchumi wake ukakua kwa kasi hadi kufikia 7%, sahizi umeanza kudorora tena, mpaka kufikia kukua kwa 0.48%!! Vita na vikwazo vikiendelea, lazima uchumi wa Russia utaenda kwenye negative GDP growth.
Ndio shida ya watu vichwa maji, hawataki kuambiwa kama wanakosea..Na Bahati mbaya zaidi Hawaambiliki