pombe kali
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 282
- 561
Kwema humu, nimeona kwenye vyanzo mbalimbali kuhusu oparesheni ya wale dada zetu na kwa bandiko hili naomba niwaite "wajasiriamiili" au "rasilimali watu" ni kweli kumekuwa na idadi kubwa ya wadada ambao husimama nyakati za jioni au usiku siwezi kusema wanajiuza kwani binafsi sijawahi kununua ila nachojua mimi ni kwamba wanawake wengi ukifika dau atakubali kukuuzia.
Suala la kukusanya vyombo vya dola, vyombo vya habari na kuwapiga picha naomba niseme kuwa hili limekiuka misingi ya utu, maana unamkamata mtuhumiwa unampiga picha unamdhalilisha what if mahakama iki mkuta hana hatia?
Maana ili umkamate mtu kwa kosa la kujiuza ni mpaka kuwe na ushahidi wa muamala, pia kuwe na ushahidi kuwa muamala ule ulibadilishwa na mwili.
Pengine lengo likawa Zuri ila approach iliyotumika ni mbaya sana hili suala ungeshirikiana na waziri mwenye dhamani wanawake jinsia na watoto, ofisi za ustawi wa jamii likapewa community approach, na siyo kukimbizana na dada zetu watoto wetu, shangazi zetu, kwenye camera usiku.
Naomba kuwakilisha