Tathmini fupi mechi ya Constantine fc vs Simba fc

Kuna timu naambiwa mpaka sasa haijafunga hata goli home and away...
 
Acha kumfananisha Prof. Kasongo wetu na vitu vya ajabu. Kasongo anakimbia, anastop na kumkimbiza adui hata kama ni kundi kubwa la mbwamwitu, anampita adui hata kama ni duma, anachenga na kuzunguka 360° akiwa speed kali, hapotezi direction ya mansion lake, anazama kwenye mansion kwa reverse katika speed ileile kali, na adui akisogeza sura yake mlangoni anarushiwa kifusi cha udongo ahangaike nacho!

Yote hayo najua mkuu unayajua vizuri ila unavunga huyaoni. Sasa sijui Professor kakukosea nini hadi useme ana akili ndogo na umfananishe na Kibu? Kibu mfananishe na nzi au kuku alokatwa kichwa, speed kali ila hawajui wanaenda wapi!
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC.
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC.
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio (Visababu) SC.
25. Manguruwe SC.
 
Simba nguvu moja, tusahihishe makosa tupige hatua bado tuna pointi 12. kwa maana ya mechi nne. Tukishinda zote tunaenda,,, hawa vyura hawanaga jipya.
Mtagongwa sn mwaka huu
 
Ukiona unafungwa na timu za shirikisho yaani za kwenye mashindano ya akina mama, ujue ukija Kwa wakubwa yaani CAFCL utapigwa magoli 16
Umeandika kwa uchungu na mate yakiwa yamejaa mdomoni...

Endelea kulamba ndimu hadi kuchefuchefu kiachane nawe
 
Umenichekesha sana Mkuu
Samahani mkuu nimemkosea sana professor Kasongo
 
Alafu ushauri wa bure jamani. Hizi timu zikifungwa zile hela za rais basi tuwe tunapewa sie wananchi. Kama hivi wananchi tungekuwa na mil 20 zetu
 
Caf walikuwa sahihi kutaka kufuta hii michuano,,timu nyingi ni unga unga mwana kwenye hiki kikombe,,unaweza kumention angalau timu kama 2 ama tatu zenye unafuu nazo ni zamalek, Rs berkane na USM alger zilizobaki zote ni pipa na mfuniko,,na bado unaona kocha wa timu inayojinasibu ni Bora na kubwa anaenda kucheza na kitimu cha dizaini Ile anapaki basi la mabeki 5,,na anapata kigoli cha mazabe mazabe anashindwa kukilinda licha ya kuwa na mabeki 5🤣🤣
Chuma 2 ndani ya dk 4,,
 
Mwamba una ugomvi nao mbona umewalabua vibao vya kelebu namna hiyo?
 
Mbumbumbu watakuja kubisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…