Tathmini fupi mechi ya Constantine fc vs Simba fc

Yanga hatopata hata pointi 6 hatua ya makundi.
 
1.Ahoua ni mchezaji wa kawaida sana.
2.Simba iliponzwa na uwoga wa bure.
3.Wachezaji waliopo Simba ya sasa wamefeli ku-retain utamaduni wa Simba inavyocheza away, sasa inafaa line up inayoanza iundwe na wachezaji wazamani angalau 7 kati 11.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…