Tathmini ya Chabruma Juu ya Upigaji Kura BMK, Chereko kwa CCM, Kilio kwa UKAWA,AKIDI KIULAINI

Kura zote za Siri zimepiga kura ya NDIYO. Japo kuna baadhi ya wabunge wamepiga kura ya HAPANA kwa baadhi ya Ibara ila kwa jumla yake za Siri zote zimepiga kura ya NDIYO.
sita kwa sita
 

Mwanasheria mkuu wa Zanzibar mwenye kaunda suti ya kijivu akisindikizwa kutoka nje ya viwanja vya bunge leo mjini Dodoma na askari polisi


Kaka umemaliza kila kitu…yaani umeua janja za hawa interahamwe
 

mshindi hushangiliwa hajishangilii. akijishangilia jua ameshindwa!
 
Kwani uliambiwa ukawa wamepiga kura bungeni?vyo yote iwavyo ccm watapata akidi kwa kulazimisha ila ni aibu kimataifa kulazimisha matokeo...ukumbuke kitendo cha mwanasheria wa zanzibar,kadhi,ukawa nk imeacha nchi vipandevipande na zinazopita ni sera za chama tawala si katiba....go to hell you gays.
 
CCM njooni sasa ZANZIBAR WALLAH hamutoki humohumo vichochoroni mmoja kiulaini tunapelekana akhera before 2015
 
Yametimia! UKAWA CHALIIIIIII!
 
SITTA ameshalazimisha matokeo sasa tunamwambia Wazanzibar na hatufichi kwa Hili kitanuka ZANZIBAR, Chwaka jiandaeni na huyo mtomvu wa adabu wenu
Si kulazimisha Mkuu. Ndo uhalisia
 

Mkuu nimekukubali sasa tulikuwa tunatumia bastora sasa tunaenda kutumia ndege za kivita na mabomu ya nyukilia UKAWA jiandaeni.
 
Jambo kubwa katika Rasimu hii na kupitishwa kwake ni idadi hasa ya Wajumbe wote wa Bunge Maalum la Katiba na idadi ya wale wa Tanzania Bara pamoja na wale wa Tanzania Bara. Idadi ndiyo,ingawa mimi si mwanamahesabu mzuri, itakayoonesha ukweli wa kupatikana au la kwa akidi ya kupitishwa kwa Rasimu iliyopendekezwa. Akidi iliyotakiwa ni ile ya 2/3 ya Tanzania Bara na 2/3 ya Tanzania Zanzibar.

Mosi,jumla ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni 356. Hii ni kwa mujibu wa taarifa rasmi za kibunge zinazopatikana Parliament of Tanzania. Jina la Mbunge wa kwanza ni Mh. Abama Taratibu Maalim Mwanamrisho (CHADEMA) na la mwisho ni la Mh. Zungu Hassan Mussa (CCM). Pili, Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wako 81. Wa kwanza n Mh. Pandu Ameir Kificho (CCM) na wa mwisho ni Mh. Wanu Hafidh Ameir (CCM). Hii inapatikana Welcome to The House of Representatives. Baraza la Wawakilishi.

Tatu, Wajumbe walioteuliwa na Rais ni 201.Wa Tanzania Bara walikuwa 127 na wa Tanzania Zanzibar walikuwa 74. Tazama www.mwananchi.co.tz na utafute. Kwa idadi hiyo iliyoelezwa hapo juu, jumla ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba ni 638.

Nitaendelea...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…