DENG XIAOPING
JF-Expert Member
- Mar 6, 2022
- 2,396
- 2,598
Hilo ndilo tatizo letu, kuendesha mashirika ya umma yanahitaji uadilifu, uchapakazi na sheria kali zenye hukumu kali kwa viongozi na wafanyakazi washenzi.Huko china wezi wa mali ya umma wanauwawa hadharani,hapa kwenu mnawasujudia
Baada ya umeme kukatika masaa matatu tena bila taarifa ndio nakutana na hii.
1.Gharama za kuunganisha umeme zimepaa
2.Gharama za unit zimepaa.
3.Tozo ya jengo kwenye umeme, kilio kwa wengi.
4.Mfumo umekodishwa kwa mabilioni ya pesa.
5.Umeme kukatika katika kumezidi tena bila taarifa rasmi.
6.Project ya hydroelectric pale imekwama.
Ajirini wachina katika shirika la Tanesco katika ngazi za juu na wataalamu wa kutosha katika shirika. Alafu njoo hapa baada ya miaka 20+ uje uone mahali Tanesco itafika Afrika na duniani kiujumla.
View attachment 2356333View attachment 2356335View attachment 2356336
Mnataka quality gani [ High, Mid , Low] mna pesa za kutosha kulingana na aina za barabara mnazo hitaji au mnapenda kajanja kajanja tu.Hao Wachina waanze kwanza kutengeneza barabara zisizo toboka tobaka baada ya muda mfupi na zisizo na matuta ya viazi.
Wasalaam wanajamvi!
Sasa ni zaidi ya mwaka mmoja tangu Mh Rais Samia achague mkurugenzi mkuu mpya wa TANESCO bwana Chande Maharage na baada ya hapo Waziri wa Nishati alivunja bodi ya tanesco na kuteua sura mpya ambayo alisema ni ya wataalam na wabobezi wanaojua biashara na ni weledi sana.
Waziri alikwenda mbali zaidi na kuweka wazi kuwa TANESCO ya sasa haitakuwa kama ile iliyopita kwani kwa sasa kila mtambo utafanyiwa matekebisho au matengenezo maana uko nyuma viongozi waliopita walizuia kufanyiwa matengenezo hivyo mitambo kulemewa kwa miaka mitano bila kufanyiwa marekebisho.
Mh Waziri na Mkurugenzi mkuu wa TANESCO walikwenda mbele zaidi na kusema wanakuja na tenesco ya kidijitali na inayojali wateja maana yake wateja watafungiwa umeme kwa haraka sana na umeme hautokatika katika kwani mitambo itafanyiwa matengenezo kila wakati.
Je, baada ya mwaka mmoja na zaidi ni kweli tuliyo ahidiwa na Makamba na Maharage yamefanikiwa?
Ni mchango wa wataalam wapya waliowekwa na Makamba kwenye bodi?
Ni mchango gani wa wafanya biashara walio wekwa kwenye bodi ya tanesco?
Tanesco ya January Makamaba na Maharage Chande imefanikiwa kwenye nini?
BADO UMEME BONGO,WATU WANAONA KITU CHA AJABU NDOMANA UKIKATIKA UKIRUDITunafanya tahmini tukiwa gizani.
Vinyozi,washina nguo nk leo hawajafanya kaziYaan hamna kitu kabisaaa
Bi afsi nashangaa sanaa kuona jmpaka leo hao jamaa wapo ktk viti ivyo ...
Mtaan tunaona umeme unakata kata ovyo ovyo yaan ni ishara ya mgao ajabu Wakiulizwa wana sema hakuna mgao ..yaan hii ni ishara ya kutudharau .