Stan Mashamba
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 3,176
- 2,479
Hongera sana.View attachment 2565224View attachment 2565225
Wadau wa Siasa Duniani wanakitaja Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kama chama cha siasa Maarufu zaidi Nchini Tanzania katika robo ya Kwanza ya mwaka , Chadema inatajwa Dunia nzima kama chama cha siasa kinachoongoza harakati zote nchini Tanzania , ikiwemo harakati "Tukufu" ya Mapambano ya Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi , ambacho ndio kilio kikuu cha Watanzania .
Taarifa zingine zinadai kwamba Ujio wa Tundu Lissu na Godbless Lema , pamoja na kishindo cha Mikutano Kabambe ya hadhara iliyopangwa Kisomi na kuvurumishwa kwenye kanda kadhaa imekifanya chama hicho kujizolea umaarufu mkubwa , si tu Tanzania bali Dunia nzima .
Hata hivyo Taarifa kutoka ndani ya Chama hicho inaeleza kwamba kuanzia mwisho wa mwezi huu ndio kinaanza rasmi kufanya mikutano ya hadhara Nchi nzima na kwamba ile mliokuwa mnaiona huko Kanda ya Nyasa ilikuwa "FAGIA UWANJA TU" Mliokuwa mnaangalia sinema zamani mtanielewa kwamba kabla ya picha yenyewe kuanza , mlionyeshwa vipande fulani vilivyoitwa " Trela " ili kuwashawishi mlipe kiingilio kabla ya picha lenyewe kuanza .
Mungu Ibariki Chadema .
Mwisho , lakini si kwa Umuhimu , Nawashukuru Wana JF wote wa Jukwaa hili kwa kuniamini .
Umejiunga wapi ?Siwezi kujiunga Chadema Hadi watakapoachana upambe Kwa LGBTQ
Hongera sana.
Umoja PartyUmejiunga wapi ?
chama cha mfukoniUmoja Party
Sema mmekula bingo mlivyoungo mkono ushoga kijanjaView attachment 2565224View attachment 2565225
Wadau wa Siasa Duniani wanakitaja Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kama chama cha siasa Maarufu zaidi Nchini Tanzania katika robo ya Kwanza ya mwaka , Chadema inatajwa Dunia nzima kama chama cha siasa kinachoongoza harakati zote nchini Tanzania , ikiwemo harakati "Tukufu" ya Mapambano ya Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi , ambacho ndio kilio kikuu cha Watanzania .
Taarifa zingine zinadai kwamba Ujio wa Tundu Lissu na Godbless Lema , pamoja na kishindo cha Mikutano Kabambe ya hadhara iliyopangwa Kisomi na kuvurumishwa kwenye kanda kadhaa imekifanya chama hicho kujizolea umaarufu mkubwa , si tu Tanzania bali Dunia nzima .
Hata hivyo Taarifa kutoka ndani ya Chama hicho inaeleza kwamba kuanzia mwisho wa mwezi huu ndio kinaanza rasmi kufanya mikutano ya hadhara Nchi nzima na kwamba ile mliokuwa mnaiona huko Kanda ya Nyasa ilikuwa "FAGIA UWANJA TU" Mliokuwa mnaangalia sinema zamani mtanielewa kwamba kabla ya picha yenyewe kuanza , mlionyeshwa vipande fulani vilivyoitwa " Trela " ili kuwashawishi mlipe kiingilio kabla ya picha lenyewe kuanza .
Mungu Ibariki Chadema .
Mwisho , lakini si kwa Umuhimu , Nawashukuru Wana JF wote wa Jukwaa hili kwa kuniamini .
Kama iliwezekana kusitishwa kwa kesi mchongo,kuondoshwa zuio haramu la haki ya kikatiba ya mikutano ya vyama,naamini panapo majaliwa, Inshaallah,katiba mpya nayo itapatikana kwa uwezo wa Allah.Hakika , mimi nitaweka kambi kwenye jukwaa hili kwa Taarifa zote za Uhakika , nilifikiria kujiondoa JF kwa mwaka huu lakini , mwanasheria wangu ameniomba nibaki mpaka itakapopatikana Katiba mpya
Huna ushahidi
AmenKama iliwezekana kusitishwa kwa kesi mchongo,kuondoshwa zuio haramu la haki ya kikatiba ya mikutano ya vyama,naamini panapo majaliwa, Inshaallah,katiba mpya nayo itapatikana kwa uwezo wa Allah.
Afadhali chama Cha mfukoni kuliko NGO ya Mzee Mtei na mkwewe.chama cha mfukoni
Huna ushahidiAfadhali chama Cha mfukoni kuliko NGO ya Mzee Mtei na mkwewe.
Umoja wa mashoga wa chatto [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umoja Party
Karibu sana .Teh teh teh
View attachment 2565224View attachment 2565225
Wadau wa Siasa Duniani wanakitaja Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kama chama cha siasa Maarufu zaidi Nchini Tanzania katika robo ya Kwanza ya mwaka , Chadema inatajwa Dunia nzima kama chama cha siasa kinachoongoza harakati zote nchini Tanzania , ikiwemo harakati "Tukufu" ya Mapambano ya Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi , ambacho ndio kilio kikuu cha Watanzania .
Taarifa zingine zinadai kwamba Ujio wa Tundu Lissu na Godbless Lema , pamoja na kishindo cha Mikutano Kabambe ya hadhara iliyopangwa Kisomi na kuvurumishwa kwenye kanda kadhaa imekifanya chama hicho kujizolea umaarufu mkubwa , si tu Tanzania bali Dunia nzima .
Hata hivyo Taarifa kutoka ndani ya Chama hicho inaeleza kwamba kuanzia mwisho wa mwezi huu ndio kinaanza rasmi kufanya mikutano ya hadhara Nchi nzima na kwamba ile mliokuwa mnaiona huko Kanda ya Nyasa ilikuwa "FAGIA UWANJA TU" Mliokuwa mnaangalia sinema zamani mtanielewa kwamba kabla ya picha yenyewe kuanza , mlionyeshwa vipande fulani vilivyoitwa " Trela " ili kuwashawishi mlipe kiingilio kabla ya picha lenyewe kuanza .
Mungu Ibariki Chadema .
Mwisho , lakini si kwa Umuhimu , Nawashukuru Wana JF wote wa Jukwaa hili kwa kuniamini .
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2565224View attachment 2565225

Nothing lasts longerNimeangalia Mara mbili mbili hiyo picha ya Kwanza nikatafakari na content yake , nikawaza sana kama hili taifa tutafika ! Nafsi inaniambia No , CCM ishatuchosha sana to be honest lkn CHADEMA sioni chochote inachkkifanya zaidi ya Harakati uchwara tu. Huu mkate wa taifa hatutokaa tule wote mezani maana fisi wa kijani hatokaa auweke hapo mezani, kama kweli CDM mnamaanisha fanyeni kama anavyofanya Babu hapo kenya, otherwise ni Upuuzi tu , eti Maridhiano , Maridhiano na FISADI afu we ndio tukutegemee kulikomboa hili taifa