Tathmini ya robo ya kwanza ya Mwaka, CHADEMA yaongoza

Taarifa zako tutasoma hatuna namna kwasababu chadema Chama kikubwa nchini japokua ccm inarobotatu ya ukubwa inaowazini ,mkilimudu hilo mliloliazisha ,katiba ,tume huru ya uchaguzi 2025 octoba ccm tutapoteana ....ila mkiingia uchaguzi mambo mawili hayo Yako hivohivo .....mmekwisha
 
....cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kama chama cha siasa Maarufu zaidi Nchini....
Kuna muda Hata Al-qaeda ilikuwa maarufu sana.

Kikubwa ni tija ipi watanzania wanajivunia umaarufu huo wa Chama Hiki cha Siasa katika kujikwamua kikweli kweli kutoka minyororo ya utumwa kiuchumi iliyofungwa na kufuli la "mabeberu uchwara" walio nje ya mipaka ya nchi yetu?
 
Kulamba asali
 
Pamoja na ushindi lakini baadhi ya Wadau wamenishambulia mno kwamba sikustahili na kwamba nimependelewa , lakini nawashukuru wote kwa ujumla wao.

Hata hivyo naahidi taarifa kemkem za kweli sana na za haraka sana kwenye Jukwaa hili kwa mwaka huu.
_ubarikiwe sana kamanda
 
Yule balozi kutoka Botswana alikitaja " Chama cha Mambuzi" [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…