Tathmini ya Utawala wa Ali Hassan Mwinyi (1985-1995) kama Rais wa Tanzania

Huu ni ukweli wakristo wanahadaika na mambo ya dunia

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
Kwakweli ni Mkristo safi ila utawala wa hawa wala kitimoto wenzangu ni hovyo sana. Japo Mkapa ilibidi afanye ukali kutokana na mazingira, aliweza kufungua nchi kiuchumi na kupunguza mfumuko wa bei kwa kiwango kikubwa.

Kikwete aliongoza kwa mfumo wa cheo ni dhamana japo kama Rais lazima ufanye mambo ili kuweka mstari sawa hata kama kuna wachache watakaoumia. Ila sasa hapa tulipo ni Mungu saidia maana huyu hata wala kitimoto wenzie wanamuona chenga tu.

Sasa mbaya zaidi kajifanya rafiki wa wenzetu wale wa Swala tano bila kujua wanaingizwa chaka mazima. Badala ya kufungua uchumi jumuishi wa sekta binafsi na watu kumiliki hela yeye anataka kuturudisha kwa Mwl kwamba hela zote awe nazo yeye na ampe anayemtaka.

Mbaya zaidi katengeza wapiga sumari wakumsifia hata akibanwa na haja wanampa pole na wengine hata kumuita mungu (herufi ndogo mjue) kwa ujira wa kulambishwa sukari kidogo inayoishia kooni.

Uchumi utasimama bila kujua.

Mchana mwema
 
Kwa kweli nimevutiwa sana na hii historia ya Mzee Mwinyi, nadhani ipo haja kweli ya kuelezea historia ya Tanzania na mambo yake katika vitabu vya historia. Bado ninatamani kujua zaidi mambo ya kiuchumi, kidini, kijamii na kisiasa enzi za Mkapa na JK. Ninaamini pia vipo vizazi vitatamani haswa kujua haya mambo tunayokumbana nayo kipindi hiki cha Magufuli.
 
Safi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…