Tathmini ya Vita ya Urusi na Ukraine. Imeshtua watu wengi sana. Hali inatisha

Kama Urusi kapata hasara kubwa,basi Ukraine kapata hasara kubwa zaidi.
 
Urusi ilikua na askari wangapi kabla Ili tujue wamebaki na wangapi?.. maana milioni kupoteza sifa maana yake urusi haina jeshi
Hizo kahawa ulaya na washiriki wake wote wanapigana na urusi Urusi sio Libya sio Libya Mzee. Harafu warusi niwamoja lnapokuja swala la tishio la nchi za magharibi. NATO IPO pale lakini jamaa wanachukua ardhi Kila siku
 
ila waliokufa wengi hata kulazimisha raia kwenda kupigana hajawahi kuwaza hilo......
Una hakika na hicho ulichoandika??

Warusi wengi wamelazimishwa mara nyingi kujiunga na jeshi ili wakapigane vita Ukraine, na kuna maelfu wametoroka nchi yao na wengine kujificha kwa kuhofia kwenda kuuawa vitani..

Pitia hapa chini chapisho la Al Jazeera...
👇

With more than 100,000 Russian soldiers killed in the war against Ukraine, Moscow is making life harder for draft dodgers.

Some young men often try to avoid mandatory military service. But as Russia’s war against Ukraine stands at a critical juncture, with the rival sides desperately attempting to appear triumphant amid peace talks, there is a particular urgency to the matter.

“I received a summons to be drafted in the spring of 2024, despite my hypertension. And by the autumn the police were searching to forcibly conscript me,” Bogdan told Al Jazeera, requesting to withhold his surname fearing reprisal.

He is currently hiding from the authorities...
-‐-------------------------

Russia’s largest military call-up whips up fear among young men | Russia-Ukraine war News | Al Jazeera Russia’s largest military call-up whips up fear among young men
 
Kuna vitu huvielewi:
Ukraine ndio Taifa kubwa kwa eneo ndani ya Ulaya ukiitoa Urusi.

Lilikuwa Taifa la Sita kwa nguvu za kijeshi duniani huku likifadhiliwa siraha, mbinu, intelligence na mataifa ya magharibi Toka 2014 mpaka leo.

Wamezidiwa, wamepigwa ndio maana wanatafuta amani
 
Mkishambiwa makande ndio mnaleta habari zenu za kupikwa Hadi umri huo unashindwa kutofuatisha propaganda na habari za kweli

Poor you
 
Utumbo mtupu ukae na wanao ndo uwasimulie huo utoto
 
Hii inafurahisha sana, Urusi imepoteza sana na yaendelea kupata hasara kubwa katika vita hii, lakini cha kushangaza Marekani (mpeleka silaha mkuu wa Ukraine) ndio yalazimisha vita isitishwe haraka
Anachofanya Russia sasa ni kurusha makombora kwa makusudi kwenye miji na kuua watu wasiokua na hatia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…