Tatizo capital

City hunter j

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2013
Posts
926
Reaction score
380
Heshima zenu wakubwa..
Amani ndiy jina langu,degree holdeq(Bachelor of Accounting)
Na busness plan nzuri and ipo kwa maneno japo bado sijaitype..inahítaji kiasi cha mil 2.5.Ndipo nilipokwamia hapo.
Kwa yeyote atakayehisi anaweza kunikopesha hicho kiasi naomba tuwasiliane kwa no.+255 714 588799
Asanteni
 

Sasa Amani, unahitaji 2.5 M ili uweze ku type wazo lako la biashara au kulitekeleza hilo wazo lako la biashara?

Kingine, ungeweka basi japo kwa dondoo tu kwamba hilo wazo lako linahusu nini ili uweze kumshawishi mtu kukukopesha hizo pesa!

Kwa jinsi ulivyoliweka utaulizwa maswali mwngi sana na huenda ikakukatisha tamaa. Ongeza nyama kidogo, ni ushauri tu mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…