Hawapendi chama, ni wanafiki kwa vile kwenda kwao chooni kunatoka hapo ccm. Hakuna mapenzi...hakuna anayeweza kupenda muuaji toka rohoni mwake. Ni wanafiki njaa mavi matumboni mwao1. Kuiba uchaguzi hawajali kuchaguliwa
2. Misaada ya mabilioni kuyeyuka hawajali ilimradi tu ni CCM
3. Visa list ya kuzuiawa huko USA hata kwa wafanyabiashara hawajali maana Mama ni Raisi wa kulazimisha
4. Utekaji wa wazi hawajali
Wanachojali wengi wao ni wenyewe binafsi kupata vyeo ili waweze kuiba uchaguzi
Sahihisha. Wanapenda ulaji. CCM ikitoka kwenye kutawala hawa wote hutawaona tena na itakufa haraka sana. CCM imetekwa na matapeli ambao kazi yao ni moja tu.... kupigania matumbo yao.1. Kuiba uchaguzi hawajali kuchaguliwa
2. Misaada ya mabilioni kuyeyuka hawajali ilimradi tu ni CCM
3. Visa list ya kuzuiawa huko USA hata kwa wafanyabiashara hawajali maana Mama ni Raisi wa kulazimisha
4. Utekaji wa wazi hawajali
Wanachojali wengi wao ni wenyewe binafsi kupata vyeo ili waweze kuiba uchaguzi
Mkuu sio "WENGI WAO", CCM wote wanajijali wenyewe.Wanachojali wengi wao ni wenyewe binafsi kupata vyeo ili waweze kuiba uchaguzi
Asilimia kubwa ya wafuasi wa CCM siyo upenzi ni wanafaika wa chama !!1. Kuiba uchaguzi hawajali kuchaguliwa