Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
TATIZO DAMU YA MTU HAIFUKIWAGI NA MCHANGA. DAMU HUFUKIWA NA DAMU JUU YAKE.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Mambo ya kiroho na kimwili yanakanuni Zake.
Ndàni ya Damu ya Mtu upo uhai. Damu ya Mtu vipo vinasaba. Vinasaba hubeba kumbukumbu za kimwili na kiroho za Mtu Husika.
Damu ya Mtu hubeba kinga za kimwili na kinga za rohoni. Kwèñye kinga za Mwili wanabaiolojia walisoma zîpo white blood cell, red blood cell na Platelets.
Damu inamakundi yake. Na zîpo Kanuni za makundi hayo katika Blood transfusion.
Ili kiumbe aendelee kuwa hai ni lazima kiumbe Kingine Kife kwaajili yake.
Yàani Kifo na Maisha na Maisha ni KIFO.
Yàani Huwezi kuishi pasipo kiumbe Kingine Kufa. Na Siku zote Huwezi Kula kitu ambacho hakikuwa na uhai.
Yaani Huwezi kuishi Kwa Kula kiumbe ambacho siô hai, mfano binadamu ili aishi lazima ale mimea au Wanyama wengine. Na katu binadamu hawezi Kula mchanga au mawe au kitu chochote kisicho na uhai au ambacho hakikuwahi kuwa na uhai.
Tunapika chàkula ili Kuua cells zilizopo katika chàkula, Taikon unaenda Wapi Huko Sasa?
Narudi! Kûna viumbe ni Sumu, yàani hata uviue ili uvile bado kûna uhai unaooperate katika viumbe hivyo. Hata hivyo vipo viumbe àmbavyo miili Yao imejengwa Kwa kemikali Zenye Sumu Ambazo Mtu akila huweza kumdhuru.
Wanyama damu zào haziliwi na Sisi binadamu. Hata hivyo wàpo wanaokunywa Kwa kufuata Kanuni za kimiungu.
Mîungu hula damu Kwa sababu kwèñye damu ñdipo ulipo uhai. Ili mîungu iishi Miaka mirefu hula damu za viumbe Wengine. Hata hivyo Kula damu ya Mtu huchukuliwa kama kuongeza Muda zaidi WA kuishi Kwa mîungu.
Damu ya Mtu ikimwagwa haifukiwi na mchanga hata siku Moja. Damu hufunikwa juu ya damu.
Yàani damu Kwa damu.
Mchanga Kwa mchanga
Hewa Kwa hewa
Maneno Kwa maneno.
Moto Kwa Moto.
Maji Kwa Maji.
Mafuta Kwa mafuta.
Unapoua Mtu yàani unapomwaga damu ya Mtu elewa damu hiyo lazima juu yake ifunikwe na damu ñyiñgine juu yake.
Huwezi muua Mtu hasa asiyestahili kuuawa ati ukamfukia shimoni alafu ukaondoka zako. Labda úwe kichwa Maji yàani hamnazo.
Wanaoelewa Kazi hizô hujua Fika kuwa endapo damu ikimwagwa isiyo na hatia kûna namna ya kuifukia damu hiyo Kwa damu ñyiñgine. Ili isilete madhara.
Soma Pia: Kuua ni laana hata vitabu vya vidini vimesema hivyo, usikubali kubebeshwa dhambi hiyo
Taikon Acha nipumzike sasa.
Nawatakia maandalizi mema ya Sabato.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam