Conquistador
JF-Expert Member
- Jun 10, 2024
- 1,435
- 3,463
Sasa Kama Mimi mpare ningekutana na mkerewe kwenye treni tukapeana namba, tukaona tumependana, tukafunga ndoa, sijajua Kama bababyake mkubwa Ni chinja chinja, hiyo laana itawafuata wanangu ambao baba Yao sijawahi hata kufika Murutunguru?Uko sawa Damu ya mtu ni kitu cha hatari!!Damu huwa inalia na kuongea kudai kisasi,ndio maana ukimwaga damu hata uzao wako unakuwa na mapigo ya ajabu na tabia za ajabu!!.Ndio maana wazee wanakataza usioe au kuolewa nyumba iliyomwaga damu maana ina hasira au adhabu ya Mwenyenzi Mungu.
Niliwahi kusikia ardhi huwa Ina record kuliko computer na smartphone yoyote.... Karma anapata habari kutoka ardhini....asikiaye na afahamu
Sasa Kama Mimi mpare ningekutana na mkerewe kwenye treni tukapeana namba, tukaona tumependana, tukafunga ndoa, sijajua Kama bababyake mkubwa Ni chinja chinja, hiyo laana itawafuata wanangu ambao baba Yao sijawahi hata kufika Murutunguru?

Duuuh
Mkuu badili ID!TATIZO DAMU YA MTU HAIFUKIWAGI NA MCHANGA. DAMU HUFUKIWA NA DAMU JUU YAKE.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Mambo ya kiroho na kimwili yanakanuni Zake.
Ndàni ya Damu ya Mtu upo uhai. Damu ya Mtu vipo vinasaba. Vinasaba hubeba kumbukumbu za kimwili na kiroho za Mtu Husika.
Damu ya Mtu hubeba kinga za kimwili na kinga za rohoni. Kwèñye kinga za Mwili wanabaiolojia walisoma zîpo white blood cell, red blood cell na Platelets.
Damu inamakundi yake. Na zîpo Kanuni za makundi hayo katika Blood transfusion.
Ili kiumbe aendelee kuwa hai ni lazima kiumbe Kingine Kife kwaajili yake.
Yàani Kifo na Maisha na Maisha ni KIFO.
Yàani Huwezi kuishi pasipo kiumbe Kingine Kufa. Na Siku zote Huwezi Kula kitu ambacho hakikuwa na uhai.
Yaani Huwezi kuishi Kwa Kula kiumbe ambacho siô hai, mfano binadamu ili aishi lazima ale mimea au Wanyama wengine. Na katu binadamu hawezi Kula mchanga au mawe au kitu chochote kisicho na uhai au ambacho hakikuwahi kuwa na uhai.
Tunapika chàkula ili Kuua cells zilizopo katika chàkula, Taikon unaenda Wapi Huko Sasa?
Narudi! Kûna viumbe ni Sumu, yàani hata uviue ili uvile bado kûna uhai unaooperate katika viumbe hivyo. Hata hivyo vipo viumbe àmbavyo miili Yao imejengwa Kwa kemikali Zenye Sumu Ambazo Mtu akila huweza kumdhuru.
Wanyama damu zào haziliwi na Sisi binadamu. Hata hivyo wàpo wanaokunywa Kwa kufuata Kanuni za kimiungu.
Mîungu hula damu Kwa sababu kwèñye damu ñdipo ulipo uhai. Ili mîungu iishi Miaka mirefu hula damu za viumbe Wengine. Hata hivyo Kula damu ya Mtu huchukuliwa kama kuongeza Muda zaidi WA kuishi Kwa mîungu.
Damu ya Mtu ikimwagwa haifukiwi na mchanga hata siku Moja. Damu hufunikwa juu ya damu.
Yàani damu Kwa damu.
Mchanga Kwa mchanga
Hewa Kwa hewa
Maneno Kwa maneno.
Moto Kwa Moto.
Maji Kwa Maji.
Mafuta Kwa mafuta.
Unapoua Mtu yàani unapomwaga damu ya Mtu elewa damu hiyo lazima juu yake ifunikwe na damu ñyiñgine juu yake.
Huwezi muua Mtu hasa asiyestahili kuuawa ati ukamfukia shimoni alafu ukaondoka zako. Labda úwe kichwa Maji yàani hamnazo.
Wanaoelewa Kazi hizô hujua Fika kuwa endapo damu ikimwagwa isiyo na hatia kûna namna ya kuifukia damu hiyo Kwa damu ñyiñgine. Ili isilete madhara.
Soma Pia: Kuua ni laana hata vitabu vya vidini vimesema hivyo, usikubali kubebeshwa dhambi hiyo
Taikon Acha nipumzike sasa.
Nawatakia maandalizi mema ya Sabato.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
Mkuu badili ID!
Humuogopi
Faustine mafwele!!?!????
Huyo ndio habari ya Town Kwa sasa!
Uko sahihiYàani ikitokea umeua Mtu elewa kuwa Mauaji kwèñye familia yako yatakuwa yanaenda Kwa kujirudia rudia.
Mara huyu kajinyonga, mara huyu kamfumania Mke au Mume wake kumuua.
Mara huyu kamuua Baba yake ili apate mgao.
Yàani Kesi zinakuwa zinaenda Kwa hivyohivyo
Acha uwoga Uganda alikuwa Malyamungu....Leo yu wapi?Mkuu badili ID!
Humuogopi
Faustine mafwele!!?!????
Huyo ndio habari ya Town Kwa sasa!
Uko sahihi
Na ndio maana kwa nchi kama Marekani mpaka leo damu zisizo na hatia huendelea kumwagika KISA babu zao waliua(mwaga damu) zisizo na hatia.....unakuta vitoto visivyo na hatia vimeuliwa vikiwa shule kumbe babu zao nao waliuwa vitoto visivyo na hatia.....ARDHI ni shahidi.
Yeye ni mwanadamu tu pamoja na uzao wake......kwani harogeki????Mafwele anakuchora tu
Mafwele anakuchora tu
Malyamungu wa zama hiziNdio Nani Mkûu?
Malyamungu wa zama hizi
Halafu wajukuu zake wanakuja kuwa mateja....wanaishi maisha ya kuteseka.....
Halafu hujifariji kwa vilevi mwanana 🙂🙂🙂Kama kweli anafanya hayo naamini Kwa asilimia tisini anajua madhara ya kile anachofanya
Vijana wake wanakula bange sana ni askari.....halafu wanasema bangi TZ ni haramu....huu ni zaidi ya USHIRIKINA.Kama kweli anafanya hayo naamini Kwa asilimia tisini anajua madhara ya kile anachofanya
Vijana wake wanakula bange sana ni askari.....halafu wanasema bangi TZ ni haramu....huu ni zaidi ya USHIRIKINA.
Kwa hiyo askari wengi.wana kazi.ya ziada. Na yule mnyongaji.wa serikali.si.ndio tabu tupu?TATIZO DAMU YA MTU HAIFUKIWAGI NA MCHANGA. DAMU HUFUKIWA NA DAMU JUU YAKE.