Tatizo gani hili msaada plzzzzzz

Sasa mi nashangaa unajisikia vibaya hivyo harafu unakimbilia jf kupata dawa za comment.

Umesahau kuwa hapa ni jf doctor huna habari kuwa kuna watu kibao wamepata ushauri hapa na kupata relief?Hapa kinatafutwa mawazo ya wapi pa kuanzia coz hata wakinitajia dawa stl itanilazm kwenda hosp kununua so hospital haikwepeki mkuu
 
shukrani ntaenda kuchek ulcers then ntawapa feedback.Naheshim wazo la kila mtu hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…