Tatizo hili chanzo ni nini?

ngalyas_t

Senior Member
Joined
Dec 5, 2012
Posts
175
Reaction score
58
Natanguliza shukrani kwa msaada na hata ushauri kutoka kwako. Ni hivi: mke wangu ni mjamzito karibu miezi nane sasa. Kinachomtatiza sana ni kupatwa na ganzi ya mara kwa mara. Yaani viganja vya mikono yote vinapatwa naganzi ya mara kwa mara.

Tatizo hili limejitokeza ilipotimia miezi ya saba na nane. Tumeenda hospital lakini bado haupatikana ufumbuzi na sijajua yawezakuwa chanzo ni nini haswa na kupelekea tatizo hili.

Je ni njia zipi za kufanya ili kuondokana na tatizo hili. Ushauri wako ni taa yangu na kwa mke wangu. Karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…