Ndani ya mwili wa mwanadamu kuna hormones nyingi sana na sidhani kama wamaanisha hormones zote, labda uje utueleze ulipata tatizo ukaenda kwa daktari na baada ya vipimo ukaambiwa ni tatizo la hormonal imbalance? Nimejaribu kuweka hapa za female, male, thyroid and teenager
hebu pitia hizi link unaweza kupata jibu: