Tatizo hili linanitesa sana naombeni msaada.

Tatizo hili linanitesa sana naombeni msaada.

mwantui

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
1,636
Reaction score
842
Habari wakuu.

Mimi nina tatizo la kukosa usingizi muda WA usiku kwa muda mrefu sasa mwanzoni nilikua nadhani labda ni kwa sababu ya kuzoea kusoma usiku lakini baada ya muda WA kama miezi mitano ivi baada ya kumaliza chuo nimekua nateseka sana usiku kwa kukosa usingizi kabisa nashindwa kuelewa ni fanye nini ili namimi nipate kulala usingizi jamani naombe mwenye kuweza kunisaidia nitafurahi sana....ahsanten sana great thinkers.
 
Mkuu, fanya yafuatayo;
1. Punguza vinywaji vyenye caffeine
2. Kila unapoingia kulala chukuwa kikombe kimoja cha maji kunywa kisha chukuwa kipande cha chumvi ya mawe (itabidi ununuwe kama huna) na ukiweke mdomoni unamung'unya taratibu kama vile ulavyo pipi.

Ukifanya hivi ndani ya wiki 2 usingizi wako utarudi normal. Usisahau pia kunywa maji ya kutosha kila siku, unaweza kubofya hapa kujifunza kiasi gani unywe kila siku.
 
Pia kuna lishe maalum iliyoandaliwa kiasilia kwa ajili hiyo. Unaweza kuwasiliana na mimi kwa msaada kwa kupitia email address: ishealthy@hotmail.com
 
Una umri gani kwanza? Unaishi maeneo gani (kama zenye kelele na vurugu nyingi?).
kama umri umeenda sana ujue umeanza kuwa Mzee!:tinfoil3:
 
Mkuu, fanya yafuatayo;
1. Punguza vinywaji vyenye caffeine
2. Kila unapoingia kulala chukuwa kikombe kimoja cha maji kunywa kisha chukuwa kipande cha chumvi ya mawe (itabidi ununuwe kama huna) na ukiweke mdomoni unamung'unya taratibu kama vile ulavyo pipi.

Ukifanya hivi ndani ya wiki 2 usingizi wako utarudi normal. Usisahau pia kunywa maji ya kutosha kila siku, unaweza kubofya hapa kujifunza kiasi gani unywe kila siku.

Thanks mkuu nitayafanyia kazi...
 
Una umri gani kwanza? Unaishi maeneo gani (kama zenye kelele na vurugu nyingi?).
kama umri umeenda sana ujue umeanza kuwa Mzee!:tinfoil3:

Mkuu kuhusu sehemu nakoishi ni kigamboni hamna kelele na pia my age is 25 years
 
Back
Top Bottom