Mkuu, fanya yafuatayo;
1. Punguza vinywaji vyenye caffeine
2. Kila unapoingia kulala chukuwa kikombe kimoja cha maji kunywa kisha chukuwa kipande cha chumvi ya mawe (itabidi ununuwe kama huna) na ukiweke mdomoni unamung'unya taratibu kama vile ulavyo pipi.
Ukifanya hivi ndani ya wiki 2 usingizi wako utarudi normal. Usisahau pia kunywa maji ya kutosha kila siku, unaweza kubofya hapa kujifunza kiasi gani unywe kila siku.
Mkuu kuhusu sehemu nakoishi ni kigamboni hamna kelele na pia my age is 25 years