Tatizo hili linatibika?

Tatizo hili linatibika?

PAZIA 3

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
1,102
Reaction score
1,919
Kwa mda wa miaka 18, jicho langu la kulia liliugua likaacha kuona,saivi halina mtoto wa jicho,je naweza pona? kulingana na mda ambao nimeshindwa kulitibia kwasababu ya Ukata
 
ntapata wapi huduma nzuri ya macho?
 
Kama upo Dar nenda hospitali ya CCBRT msasani, nasikia wako vizuri kuhusu magonjwa ya macho.
Dah kwa kweli ktk hospitali ambayo nimepoteza imani nayo ni CCBRT maybe sababu ya tatizo langu but nadhani muhimbili au KCMC panaweza kuwa bora zaidi kwa kuanzia
 
Back
Top Bottom